Kisorsoganon-Kaskazini

Kisorsoganon-Kaskazini (pia Kimasbate) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wasorsoganon. Mwaka wa 1975 idadi ya wasemaji wa Kisorsoganon-Kaskazini imehesabiwa kuwa watu 85,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisorsoganon-Kaskazini iko katika kundi la Kifilipino.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search